MAONI YA MHARIRI »

05Mar 2019
Nipashe

TANZANIA juzi iliungana na nchi nyingine ulimwenguni kuadhimisha Siku ya Usikivu Duniani na serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,...

04Mar 2019
Nipashe

WAWAKILISHI pekee wa Afrika Mashariki na Kati katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba wanaondoka jijini Dar es Salaam kesho kuelekea...

02Mar 2019
Nipashe

WAKATI msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwaka 2018/ 19 unaelekea ukingoni, hii ni dalili kuwa msimu mpya unakaribia kuanza.

01Mar 2019
Nipashe

PALE mamlaka zinapotumiwa vibaya na viongozi wasio na maadili, wanaoumia ni makundi ya wanyonge hasa wanawake wasio na uwezo kifedha na kitaaluma...

28Feb 2019
Nipashe

KUKOPA ili kuendeleza biashara ni jambo lisilokwepeka. Ndiyo maana Watanzania wengi wanaokopa huanzisha au kuendeleza biashara.

27Feb 2019
Nipashe

UWEZEKANO wa kuenea maradhi ya kimeta ni mkubwa miongoni mwa wananchi wakiwamo walaji na wafanyabiashara wa nyama kama hatutabadilika.

26Feb 2019
Nipashe

AJALI za barabarani nchini zimezidi kushika kasi, huku wananchi wanaotumia vyombo vya moto vinavyohusika katika matukio hayo wakipoteza maisha na...

25Feb 2019
Nipashe

LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa ipo katika mzunguko wa lala salama huku Yanga ikiwa kileleni na pointi 61 baada ya kushuka dimbani mara 25.

25Feb 2019
Nipashe

LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa ipo katika mzunguko wa lala salama huku Yanga ikiwa kileleni na pointi 61 baada ya kushuka dimbani mara 25.

23Feb 2019
Nipashe

MZUNGUKO wa pili na wa lala salama wa Ligi Kuu Tanzania Bara umeshaanza kwa timu zinazoshiriki ligi hiyo kupambana kusaka pointi tatu muhimu.

Pages