MAONI YA MHARIRI »
TAARIFA iliyotolewa juzi na Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Aifello Sichwale, inaonyeha kuwa Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza kwa idadi kubwa zaidi ya...
RAIS Samia Suluhu Hassan alimaliza ziara mkoani Mara juzi akiwa ameagiza wakaguzi wa ndani katika mkoa huo wabadilishwe vituo vya kazi kutokana...
JUMAMOSI Bunge lilikaribisha wadau mbalimbali kutoa maoni kwenye muswada wa Sheria ya Kudhibiti Utakatishaji wa Fedha Haramu, ambao ndani yake una...
NI klabu ya Simba pekee kwa sasa inayobeba dhamana ya nchi kwenye michuano ya kimataifa wakati huu Watanzania wakitamani kuona msimu ujao Tanzania...
KATIKA kuhakikisha mpira wa miguu hapa nchini unakuwa na maendeleo, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na mashirikishiko ya...
SEHEMU kubwa ya Tanzania kwa sasa inakumbana na athari za kukatika kwa umeme kutokana na mgawo uliotangazwa na serikali, ambao utachukua siku 10...
BUNGE limemchagua kwa kura zote 376, Dk. Tulia Ackson kuwa Spika, akijaza nafasi ya Job Ndugai aliyejiuzulu wadhifa huo mapema mwezi uliopita.
MWANZA ni miongoni mwa mikoa mitano ambayo inatajwa kufanya vizuri katika chanjo ya UVIKO-19, ambapo Mganga Mkuu wa mkoa huo, Dk. Ruta Thomas,...
MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa 14 utanza wiki hii baada ya mwishoni mwa wiki kupisha mechi za hatua ya 32 ya michuano ya Kombe...
MISEMO ya kale inasema kwamba, haijalishi ni wakati gani mgumu unaopitia, lakini mara zote kuna nyakati nzuri zitakuja tu mbele yako.