MAONI YA MHARIRI »

02Jan 2020
Nipashe

KASI ndogo ya utolewaji wa vitambulisho vya Taifa kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi, imekuwa ikielezwa kuwa inasababishwa na mambo...

01Jan 2020
Nipashe

LEO tumeuanza Mwaka Mpya wa 2020. Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutupatia uzima, hivyo kuvuka mwaka 2019.
Ni jambo la kumshukuru...

31Dec 2019
Nipashe

Serikali iliweka wazi ma[ema wkamba usajili wa laini za siku kwa njia ya vidole gumba unafanyika bila malipo yoyote.

30Dec 2019
Nipashe

KWANZA kabisa tunapenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutufikisha salama hadi siku ya leo.

28Dec 2019
Nipashe

WAKATI mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kukamilika hivi karibuni, tayari Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeshafungua dirisha...

27Dec 2019
Nipashe

UPATIKANAJI wa mbegu bora za kilimo umekuwa moja ya changamoto ambazo zinawakwaza wakulima wetu.

26Dec 2019
Nipashe

UNYANYASAJI wa kijinsia ikiwamo rushwa ya ngono katika vyuo vya elimu ya juu, vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara nchini na hata kusababisha...

25Dec 2019
Nipashe

Hatimaye muda uliotolewa na serikali kwa wamiliki wa laini za siku kuzisajili kwa mfumo wa alama za vidole umefikia ukingoni.

24Dec 2019
Nipashe

UGONJWA wa malaria bado ni tishio kwa watu wengi nchini. Ni ugonjwa ambao umekuwa ukipoteza uhai wa watu wengi mijini na vijijini.

23Dec 2019
Nipashe

MKUTANO Mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), umefanyika mwishoni mwa wiki na moja ya ajenda ya mkutano huo ilikuwa ni kubadilisha...

Pages