MAONI YA MHARIRI »
JUMATATU serikali ilitanga kuondoa tozo ya Sh. 100 kwa kila lita ya mafuta ya petroli, dizeli na ya taa kwa watumiaji kwa miezi mitatu kuanzia...
TANGU mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) umeanza, kumekuwa kukijitokeza vitendo visivyofaa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya wafanyakazi wa...
LIGI Kuu Tanazania Bara tayari imeingia mzunguko wa pili ambao ni walala salama kabla ya bingwa atakayeiwakilisha nchi kwenye michuano ya...
MZUNGUKO wa pili au hatua ya lala salama ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2021/2022 ulianza rasmi jana kwa mechi moja kuchezwa kwenye Uwanja...
BEI ya gesi mtungi mdogo imepanda kutoka Sh. 20,000 hadi 25,000 huku mtungi wa kati ukitoka Sh. 53,000 hadi 58,000, ambayo hutumiwa sana na...
HIVI karibuni timu ya watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), ilitembelea Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro kujionea...
JUZI Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekonolojia ya Habari, Nape Nnauye, alisema moja ya maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari, 2016, ni...
MWISHONI mwa wiki Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), iliitaka serikali kuweka mkakati madhubuti wa kulipa madeni ya Mfuko wa...
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa kwa ngazi ya klabu, Simba, jana usiku walishuka katika Uwanja wa Generali Seyni...
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania waliobakia katika mashindano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho Afrika ambayo yanaandaliwa na Shirikisho la Soka...