MAONI YA MHARIRI »
BUNGE limemalizika na sasa bajeti ya serikali ya mwaka 2022/23 inaanza kufanyakazi kuanzia leo Julai Mosi. Hongera kwa mwaka mpya wa fedha wa...
JUHUDI zinazofanywa na Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwakamata watu wanaojihusisha na uhalifu wa kimtandao, zinatoa matumaini kutokana na uhalifu...
WAKATI maonyesho ya Kimataifa ya Biashara (DITF) yakianza rasmi jijini Dar es Salaam, washiriki zaidi ya 3,000 kutoka nchini wanatarajiwa...
MFUKO wa Maendeleo ya Jimbo la Uchaguzi (CDCF) ulianzishwa kwa Sheria ya Mfuko huo ya Mwaka 2009 kwa lengo la kuchochea maendeleo ya jimbo.
KATIKA karne ya 21 teknolojia ya televisheni na maonyesho mbalimbali vimeitangaza sanaa tasnia ya filamu kwa watu wote; watazamaji wa mijini na...
LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/ 2022 inatarajia kufikia tamati Juni 29, mwaka huu kwa timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo kushuka dimbani...
JUZI Jukwaa la Wahariri wa Habari (TEF) lilitoa tamko la kulaani kitendo cha askari wa jiji la Dar es Salaam kuwanyanyasa na kuchukua meza za...
KARIBU kila mkoa Tanzania Bara sasa kunashuhudiwa kumejengwa au kunajengwa masoko na vituo vya kisasa vya mabasi, ujenzi huo ukigharimu mabilioni...
SERIKALI imeanza utaratibu wa kuwatambua wabunifu nchini kupitia mashindano kutokana na kuwapo kwa mwongozo wa kutambua na kuendeleza ubunifu na...
WATANZANIA wana mambo mengi yanayowasifia na kuwatofautisha na jamii nyingine duniani kama ukarimu, upole na upendo, lakini wana udhaifu...