MAONI YA MHARIRI »

12Feb 2020
Nipashe

SERIKALI imeweka muda wa mwisho kwa watoa huduma ndogo za kifedha nchini kukata leseni au kusajiliwa, lengo likiwa ni kufanya biashara hiyo kwa...

11Feb 2020
Nipashe

CHANGAMOTO za taaluma ya wanafunzi kwenye shule zetu za msingi na sekondari zimekuwa zikiibuka kila uchao hususan baada ya kutangazwa kwa matokeo...

10Feb 2020
Nipashe

HABARI ya mjini katika soka la Tanzania Bara kwa sasa ni kuvurunda kwa waamuzi hususan wanaochezesha Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza.

08Feb 2020
Nipashe

WAKATI mzunguko wa pili au hatua ya lala salama ya Ligi Kuu Bara inatarajia kuanza leo kwa mchezo mmoja kati ya vinara wa ligi hiyo na mabingwa...

07Feb 2020
Nipashe

JANA kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini, Rais John Magufuli aliwaonya wapelelezi wa kesi na wasimamizi wa sheria kwa...

06Feb 2020
Nipashe

MVUA zinazoendelea kunyesha katika maeneo mengi nchini, zimeendelea kusababisha athari kwa wakazi wa maeneo husika.

05Feb 2020
Nipashe

LILILOTOKEA Moshi na kusababisha vifo vya watu 20 na majeruhi kadhaa katika ibada ya kukanyaga mafuta linatoa funzo kwa kila mmoja kuanzia waumini...

04Feb 2020
Nipashe

BAADA ya kero za muda mrefu za foleni ya malori na rushwa katika eneo la mpaka wa Tanzania na Zambia, hatimaye sasa zimeanza kuchukuliwa kama...

03Feb 2020
Nipashe

LIGI Kuu Tanzania Bara imeendelea jana kwa Yanga kukamilisha mzunguko wake wa 16 kwa kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar ambayo kwao hiyo ilikuwa ni...

01Feb 2020
Nipashe

WAKATI baadhi ya timu zinazoshiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara zikiwa zimeshaingia kwenye mzunguko wa pili wa ligi hiyo, zipo klabu nyingine...

Pages