MAONI YA MHARIRI »

03May 2022
Nipashe

LEO ni maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, kwa Afrika yanafanyika Tanzania kwa kuwaleta pamoja wanahabari na wadau wa...

02May 2022
Nipashe

JUMAMOSI tumeshuhudia 'dabi' ya watani wa jadi, Simba na Yanga, ikipigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare ya bila kufunga, matokeo...

30Apr 2022
Nipashe

WATANI wa jadi, Simba na Yanga wanatarajia kukutana katika mechi ya mzunguko wa pili ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara itakayochezwa leo kwenye...

29Apr 2022
Nipashe

HIVI karibuni Rais Samia Suluhu Hassan, alikutana na Watanzania wanaoishi Marekani na kutoa ujumbe ambao unawagusa wote wanaoishi nje ya nchi na...

28Apr 2022
Nipashe

NI habari njema kuwa Kikosi Kazi cha Rais Samia Suluhu Hassan, kinachofanyia kazi masuala ya demokrasia ya vyama vingi vya siasa , kimeanza...

27Apr 2022
Nipashe

JUZI Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza msamaha wa adhabu na riba ya kodi kwa vyombo vya moto vilivyoingizwa nchini bila kufuata taratibu...

26Apr 2022
Nipashe

SEHEMU ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebainisha kuwapo dawa zenye thamani ya Sh. bilioni 23.04 zilizokwisha...

25Apr 2022
Nipashe

TAYARI Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limepanga makundi ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023, zitakazofanyika nchini...

23Apr 2022
Nipashe

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki waliobakia katika mashindano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba kesho watashuka...

22Apr 2022
Nipashe

BARABARA ni miundombinu muhimu sana katika uchumi na maendeleo ya jamii, hivyo kila wakati kuwa kipaumbele kikubwa kwa wananchi.

Pages