MAONI YA MHARIRI »

23Jul 2021
Nipashe

JANA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema chanjo zimefika nchini na anayehitaji kuchanjwa yupo huru kuchanjwa wakati wowote, katika vituo maalum...

22Jul 2021
Nipashe

JANA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, alipiga marufuku kuingia na silaha kwenye maeneo ya starehe kama baa, kambi za muziki...

21Jul 2021
Nipashe

JUMLA ya wanafunzi 981 wilayani Kibondo, mkoani Kigoma walipata mimba katika kipindi cha miezi sita, Januari hadi Juni, mwaka huu, sasa wako...

20Jul 2021
Nipashe

JUNI 17, mwaka huu, eneo la Sinza, jijini Dar es Salaam, kulifanyika mauaji ya kutisha baada ya mfanyabiashara Alex Koroso (37), kumshambulia...

19Jul 2021
Nipashe

LIGI Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/21 imefikia tamati jana, kwa mabingwa Simba kukabidhiwa kombe lao ikiwa imelitwaa kwa mara ya nne...

16Jul 2021
Nipashe

JANA kampuni za simu zilianza kutekeleza tozo mpya iliyopitishwa kwenye Bajeti ya mwaka 2021/22 ambayo ni kukata kati ya Sh. 10 hadi 200 kwa siku...

15Jul 2021
Nipashe

JANA ilikuwa ni kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin Mkapa, aliyezaliwa katika Kijiji cha...

14Jul 2021
Nipashe

JUMAMOSI soko la kihistoria la Kariakoo liliteketea moto katika mazingira yenye utata, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likishindwa kukabili moto...

13Jul 2021
Nipashe

HIVI karibuni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, alisema Jeshi la Polisi limefanikiwa kunyamazisha majambazi kimya kimya...

12Jul 2021
Nipashe

TASNIA ya michezo nchini ilipokea kwa mshtuko habari za ajali ya timu ya mpira wa miguu ya Polisi Tanzania siku ya Ijumaa.

Pages