MAONI YA MHARIRI »

12Jul 2021
Nipashe

TASNIA ya michezo nchini ilipokea kwa mshtuko habari za ajali ya timu ya mpira wa miguu ya Polisi Tanzania siku ya Ijumaa.

09Jul 2021
Nipashe

KILIO cha riba kubwa za mikopo inayotolewa na benki nchini ni cha muda mrefu kiasi cha wengi kushindwa kukopa, na kila kiongozi wa nchi aliyeingia...

08Jul 2021
Nipashe

JUZI Hospitali ya Rufani ya Kanda Bugando, jijini Mwanza imesema inakabiliwa na uhaba wa mitungi 500 ya kuhifadhia oksijeni kwa ajili ya kuhudumia...

07Jul 2021
Nipashe

JESHI la Polisi limetangaza kufanikiwa kunyamazisha ujambazi uliokuwa umeanza kuibuka kimya kimya kwenye maeneo mengi nchini, hii ni habari njema...

06Jul 2021
Nipashe

JANA serikali ilitangaza mwongozo kwa shule za msingi, sekondari na vyuo katika kipindi hiki cha corona, na pia imeeleza kuwa chanjo itakuwa bure...

05Jul 2021
Nipashe

ZIMEBAKI takribani raundi mbili kwa timu 15 kati ya 18 zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kuhitimisha msimu huu wa 2020/21, ambao utashuhudiwa...

02Jul 2021
Nipashe

JESHI la Magereza limesema limeanza ujenzi wa magereza mapya na ngome kwenye magereza ya zamani, ili kukabiliana na msongamano wa mahabusu na...

01Jul 2021
Nipashe

JUZI mawaziri wanane waliweka bayana mkakati wa pamoja katika kukabiliana na kelele nyumba za ibada na maeneo ya starehe, huku wakiweka adhabu...

30Jun 2021
Nipashe

JUZI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Leberata Mulamula, alisema serikali imekamilisha mambo yote ya msingi yanayotakiwa...

29Jun 2021
Nipashe

Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza siku 100 madarakani akiwa ni rais wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki na Kati.

Pages