MAONI YA MHARIRI »
KWA muda mrefu, wafanyabiashara wadogo maarufu kama ‘machinga’ wamekuwa wakifanya biashara zao katika maeneo mbalimbali nchini, yakiwamo yasiyo...
SEKTA ya utalii imepata Shilingi bilioni 90.2 za msaada wa kukabiliana na madhara ya UVIKO 19, kwa ajili ya kuleta mageuzi na kuboresha vivutio...
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa kwa upande wa Kombe la Shirikisho Afrika, Biashara United na Azam FC, tayari wamemaliza...
SERIKALI imesema inakamilisha mchakato wa kupitia maoni ya Watanzania wanaoishi nje (Diaspora), kuhusu kupewa hadhi maalumu itakayowawezesha...
BABA wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, wakati wa uhai wake hususan akiwa Rais wa Taanganyika na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
JUZI Rais Samia Suluhu Hassan, aliwaonya wanaosambaza maneno kuwa anawajibisha na kuteua kwa kuangalia kabila la mtu, na kuweka bayana kuwa...
JUZI Rais Samia Suluhu Hassan aliwaonya watendaji dhidi ya udokozi wa fedha za kampeni ya kitaifa ya miezi tisa ya maendeleo kwa ustawi wa...
KUNA kila sababu wadau wa soka, mashabiki na klabu zote nchini kutembea kifua mbele wakilipongeza Shirikisho Soka Tanzania (TFF) na Bodi yake ya...
HAKI ni kitu au jambo ambalo mtu anastahiki kupata; utendaji, ufuataji na utumiaji wa sheria na kanuni katika kutimiza jambo; maji, miliki n.k....
UTARATIBU wa kuwaendea wananchi kuwapa elimu na kuwahamasisha kuhusu chanjo ya corona umeonekana kuongeza chachu ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo...