MAONI YA MHARIRI »
TIMU ya Mawaziri wanane imekwenda katika vijiji mbalimbali nchini kufanya tathmini kuhusu migogoro ya ardhi inayohusu wananchi na hifadhi.
KUNA matukio ambayo yanaendelea kwa kasi katika maeneo yote ya Tanzania, ambayo wananchi wanapora mali za abiria zinapotokea ajali barabarani.
UVIKO-19 ni miongoni mwa magonjwa ambayo yanaendelea kuangamiza maisha ya watu sehemu mbalimbali duniani.
IKIWA ndiyo kwanza mwanzo wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 wakati timu zote 16 shiriki zikiwa zimecheza mechi mbili kwenye mzunguko wa kwanza,...
LIGI Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/22 ambayo hutoa wawakilishi wa nchi katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika imeingia...
WAKATI Tanzania ikiendelea kutoa chanjo ya corona kwa watu wake, njia mbalimbali zimeanza kubuniwa kwa ajili ya kuwahamasisha wananchi kujitokeza...
MWENENDO mzima wa ufanyaji wa shughuli za ujasiriamali wa kujitafutia riziki kupitia biashara ndogo katika maeneo mengi nchini ni changamoto.
VIONGOZI wa kuteuliwa katika ngazi za wilaya na halmashauri wamepewa angalizo, kutokana na kuendeleza malumbano na kutokuelewana, hivyo...
IMEBAINIKA kuwa miongoni mwa sababu zilizokuwa zinalikwamisha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kujiendesha, mojawapo ni serikali kuingilia...
PAZIA la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/22, linafunguliwa rasmi leo katika viwanja vitatu baada ya juzi kupigwa mechi ya Ngao ya Jamii...