MAONI YA MHARIRI »
WAWAKILISHI wengine wa Tanzania Bara kwenye michuano ya kimataifa; Azam FC na Yanga, watashuka dimbani leo na kesho katika viwanja tofauti...
JUZI Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, wakati akifungua Kongamano la la Wanawake na Biashara jijini humo lililoandaliwa na Benki ya Biashara...
JUZI Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, lilieleza kuwakamata watu wawili kwa tuhuma za kuwatorosha watoto 11 wenye umri wa miaka 10 na 14, kwenye...
KATIKA siku za karibuni kumekuwapo na hali isiyo rafiki katika tasnia ya kisiasa nchini.
TANZANIA ina neema ya utajiri wa aina nyingi, kuanzia madini ya vito vya thamani kama dhahabu, almasi hadi tanzanite, isiyopatikana kwingine...
KWA mara nyingine tena timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashuka dimbani kesho, baada ya kutoka sare bao 1-1 ugenini dhidi ya DR Congo...
KLABU za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara kwa sasa zipo katika maandalizi makali kuelekea msimu mpya wa 2021/22 utakaofunguliwa...
MASUALA muhimu na kugusa jamii moja kwa moja ikiwamo makazi, afya, ardhi, elimu hayaepukiki kwa mtu wa kipato chochote.
SOKO la miti ya mikaratusi limeanza kuonekana katika baadhi ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, baada ya kuwapo kwa viwanda vya kuchakata miti hiyo...
JUZI Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilianza ukaguzi wa vyama vyote vya siasa vyenye usajili wa kudumu kutokana na kuwa takwa la kisheria.