MAONI YA MHARIRI »

08Feb 2016
Nipashe

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) ndizo taasisi zenye mamlaka ya kusimamia mchezo wa soka Tanzania.

07Feb 2016
Nipashe Jumapili

Wakati taifa linajiandaa kuingia katika uchumi utakaotegemea uzalishaji wa bidhaa za viwandani kwa kutegemea malighafi itakayozalishwa na wakulima...

07Feb 2016
Lete Raha

MCHEZAJI wa zamani wa Simba, Edward Christopher 'Edo', alikuwa ni tumaini jipya la taifa katika medani ya soka.
Akiwa na umri mdogo, Edo...

06Feb 2016
Nipashe

RUVU Shooting imekuwa timu ya kwanza ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kukata tiketi ya kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao.

05Feb 2016
Nipashe

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi wa ukanda wa Pwani kuchukua taadhari dhidi ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika...

03Feb 2016
Nipashe

SERIKALI juzi iliwasilisha mwongozo wa kuandaa mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha wa 2016/17 ambao pamoja na mambo mengine, umejielekeza kubana...

01Feb 2016
Nipashe

LIGI Kuu ya Tanzania Bara iliingia duru la pili juzi huku mabingwa watetezi, klabu ya Yanga wakipoteza mechi yao ya kwanza msimu huu walipochapwa...

28Jan 2016
Nipashe

Waziri wa Habari, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, alitangaza kuanzia jana Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) lingeacha kurusha matangazo...

26Jan 2016
Nipashe

MKUTANO wa pili wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza vikao vyake leo mjini Dodoma.
Katika mkutano huo, wananchi...

25Jan 2016
Sema Usikike

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza vikao vyake Mjini Dodoma wiki hii.

Pages