MAONI YA MHARIRI »
RAIS John Magufuli, juzi alitengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne-Kilango Malecela, na kumsimamisha kazi mara moja Katibu Tawala wa...
LEO Watanzania wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 32 tangu Waziri Mkuu wa zamani, Hayati Edward Sokoine, afariki dunia Aprili 12, 1984, kwa ajali...
KATIKA mchezo wowote, nidhamu ya mchezaji ni jambo muhimu kabisa. Nidhamu ndiyo hulinda kipaji cha mchezaji na kumfanya kucheza kwa muda mrefu....
Kwa mujibu wa Waziri wa Utumishi, Angela Kairuki, watumishi hewa wameshaisababishia serikali ya Rais wa tano, John Magufuli hasara Sh. bilioni 7.6...
Kila la kheri Yanga Afrika YANGA – wawakilishi wa nchi katika mashindano ya Klabu Afrika, wanashuka dimbani leo katika mchezo wao wa kwanza wa...
KATIKA toleo letu la jana, tulichapisha habari ikieleza kwamba magari madogo yanaongoza kwa kupata ajali mara kwa mara na kwamba madaraja ya...
SERIKALI imepanga kutumia Sh. trilioni 29.53 katika bajeti yake kwa mwaka ujao wa fedha 2016/17, huku ikionyesha kuwa italazimika kuongeza vyanzo...
PAMOJA na wito unaoendelea kutolewa na watu kadhaa wanaoitakia mema Zanzibar pamoja na jumuiya ya kimataifa kutaka pande zinazovutana kuzungumza...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad, ameishauri serikali kwamba upangaji wa bajeti ya taifa upangwe kwa...
SOKA la Tanzania limetumbukia katika aibu kubwa ya upangaji matokeo. Katika mchezo wa soka unaoongozwa kwa kupendwa ukiwa na mashabiki zaidi ya...