MAONI YA MHARIRI »
WINGI wa watalii wanaoingia nchini kwa sasa unaonyesha kuchangiwa na matokeo ya filamu ya Royal Tour na kulegezwa kwa masharti ya corona ambayo...
LEO bajeti ya serikali ya kwanza tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Machi 2021, inasomwa ambayo itaonyesha mwelekeo wa mwaka wa...
LICHA ya kwamba Ligi Kuu Tanzania Bara haijafikia ukingoni ili kutoa nafasi ya dirisha kubwa la usajili kufunguliwa, tayari tetesi za usajili...
TIMU ya Taifa, Taifa Stars, haifanyi vizuri sana kwenye mashindano ya kimataifa na sababu zinaweza kutajwa nyingi sana, lakini ukweli ni kwamba,...
KUNA jambo linalotoa maswali mengi ya kijamii sasa. Mambo yote yana majibu kwa umma, iwe kisheria au hata kutumia kanuni kadhaa za kiserikali,...
JUZI Rais Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini mikataba ya miradi ya maji kwa ajili ya miji 28 ya Tanzania Bara itakayogharimu Shilingi...
KILA Juni 5, ni maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo inalenga kuwakumbusha wanadamu umuhimu wa kutunza mazingira, kwa ajili ya...
MSIMU wa Ligi Kuu Bara 2021/22, umebaki raundi nne kwa kila timu kabla ya kumalizika ifikapo Juni 29, mwaka huu, ambapo klabu zote 16 shiriki...
TIMU ya Taifa ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, leo usiku inatatupa karata yake ya kwanza kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kusaka tiketi ya...
RAIS Samia Suluhu Hassan, juzi alikabidhi magari 123 kwa wakurugenzi wa halmashauri nchini kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya...