MAONI YA MHARIRI »

20Sep 2019
Nipashe

MOJA ya taarifa zilizotikisa wasomaji wengi wakati huu tunapoelekea mwisho wa wiki ni kuwapo maambukizi mengi ya homa ya ini hapa nchini.

19Sep 2019
Nipashe

WANAFUNZI zaidi ya 900,000 wamehitimu darasa la saba mwezi huu na sasa kinachoendelea ni maandalizi ya kujiunga na masomo ya sekondari kwa kidato...

18Sep 2019
Nipashe

UKAGUZI wa mabasi ya daladala asubuhi na mapema unaofanywa na trafiki kwenye barabara zote jijini Dar es Salaam, wakati mwingine unawakera abiria...

17Sep 2019
Nipashe

KWA miongo mingi tatizo la nyanda za malisho na ukosefu wa majani kwa mifugo nchini, limekuwa kubwa na kusababisha watu kupoteza maisha na mali....

16Sep 2019
Nipashe

BAADA ya kufanikiwa kutinga hatua ya makundi kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar 2022, timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars),...

14Sep 2019
Nipashe

KWANZA kabisa Nipashe linaanza kutoa pongezi kwa wachezaji na benchi la ufundi la Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), ambalo wiki iliyopita...

13Sep 2019
Nipashe

SERIKALI imegundua kuwa kuna miradi 88 ya maji  ambayo aidha kwa uzembe wa viongozi, ubadhirifu na ufisadi miongoni mwa makandarasi na wahandisi...

12Sep 2019
Nipashe

HUKO mkoani Geita katika Kijiji cha Kasara, wananchi kutoka maeneo mbalimbali wamekusanyika kushuhudia na kumletea zawadi na sadaka  chatu...

10Sep 2019
Nipashe

KATIKA toleo letu la leo tumechapisha habari ikieleza kuwa ujenzi wa hospitali za wilaya 67 zinazoendelea kujengwa, umeongezewa nguvu, baada ya ...

09Sep 2019
Nipashe

BAADA ya msimu uliopita Ligi Kuu Tanzania Bara kushuhudiwa ikimalizika bila mdhamini mkuu, hatimaye Shirikisho la Soka nchini (TFF), mwezi...

Pages