HABARI »

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Nurdin Babu akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa Benki ya Exim Tanzania mkoani humo iliyofanyika mwishoni mwa wiki ikilenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo.

20Mar 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewasihi wafanyabiashara mkoani humo kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi zinazotokana na mazingira wezeshi kwao yaliyoandaliwa na serikali pamoja na...

20Mar 2023
Woinde Shizza
Nipashe

Wanawake wametakiwa kutokukata tamaa katika kazi zao pamoja na kufanya kazi kwa nguvu na bidii...

20Mar 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeitaka Wizara ya...

20Mar 2023
Sabato Kasika
Nipashe

KATIKA jitihada za kukomesha vitendo vya ukatili wa kijinsia, madereva wa bodaboda wametakiwa...

20Mar 2023
Said Hamdani
Nipashe

MKAZI wa Kata ya Rutamba, Manispaa ya Lindi, Salum Kindamba (44), amelazwa Hospitali ya Rufani...

20Mar 2023
Christina Mwakangale
Nipashe

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na mafanikio yanayoonekana sasa nchini, anakumbuka...

20Mar 2023
Joctan Ngelly
Nipashe

MAHAKAMA Kuu Tanzania Kanda ya Mwanza iliyoketi Geita, imemhukumu Emmanuel Mbuga (36) kunyongwa...

20Mar 2023
Romana Mallya
Nipashe

KAMPENI ya EATVKinara2023 imewatambua na kuwapatia vyeti wanawake mashujaa wanane, ambao...

20Mar 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

BODI ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) imetekeleza kwa vitendo juhudi za Rais Samia Suluhu...

Pages