Makamu wa Rais kuzindua maonyesho ya nane nane Simiyu

31Jul 2020
Happy Severine
Simiyu
Nipashe
Makamu wa Rais kuzindua maonyesho ya nane nane Simiyu

MKUU wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka, amesema maonyesho ya nane nane kanda ya ziwa mashariki mwaka huu yatakuwa ya kipekee zaidi ukilinganisha na miaka miwili iliyopita kwa sababu yatahusisha uwepo wa teknolojia za kisasa katika kilimo biashara.

Habari Kubwa