Ajali ya Kiberenge yaua watumishi watano wa TRC

23Mar 2020
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Nipashe
Ajali ya Kiberenge yaua watumishi watano wa TRC

Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania - TRC wamefariki dunia baada ya ajali ya Treni na Kiberenge kugongana eneo lililopo kati ya Stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda.

Habari Kubwa