Asimulia alivyopata maambukizi VVU mara ya kwanza bila kinga

06Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Nipashe Jumapili
Asimulia alivyopata maambukizi VVU mara ya kwanza bila kinga

MKAZI wa jijini Dar es Salaam, Veronica Lyimo, amesimulia harusi ya rafiki yake ilivyobadili maisha yake baada ya kushiriki tendo la ndoa bila kinga kwa mara ya kwanza na kupata maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU).

Habari Kubwa