Askofu Ruwa'ichi atolewa ICU

16Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Nipashe
Askofu Ruwa'ichi atolewa ICU

HALI ya kiafya ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Thadei Ruwa'ichi imeanza kuimarika ambapo ametolewa ICU na kupelekwa wodi ya kawaida baada ya jopo la wataalamu saba wanaomuhudumia kujiridhisha.

askofu Mhashamu Yuda Thadei Ruwa'ichi.

Habari Kubwa