Babu tale atoa milioni 40 ujenzi wa madarasa

09Jun 2021
Frank Kaundula
MOROGORO
Nipashe
Babu tale atoa milioni 40 ujenzi wa madarasa

OFISI ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki imetoa milioni 40.05 kutoka katika mfuko wa jimbo ili kukamilisha vyumba vya madarasa 16 katika shule za sekondari 9 zilizopo katika jimbo hilo ikiwa ni katika kuunga mkono jitihada za serikali katika kukabiliana na uhaba wa vyumba vya madarasa.

mbunge wa Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shaban (babu tale).

Habari Kubwa