Babu wa Loliondo kuzikwa kesho Samunge

03Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Arusha
Nipashe
Babu wa Loliondo kuzikwa kesho Samunge

MWILI wa mzee maarufu Ambilikile Mwasapila (Babu wa Loliondo) unatarajiwa kuzikwa kesho Agosti 4, katika katika Kijiji cha Samunge, wilayani Ngorongoro mkoani Arusha, alipokuwa akitoa tiba ya mitidawa maarufu kama kikombe cha Babu.

Ambilikile Mwasapila (Babu wa Loliondo).