Bashiru aonya ushangiliaji CCM

31Oct 2020
Na Mwandishi Wetu
Dodoma
Nipashe
Bashiru aonya ushangiliaji CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali, amewataka wanachama wao kutoshangilia kwa kiwango kikubwa ushindi, ili kuepusha kuwakwaza washindani wao.

Alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na waandishi habari mara baada ya kusali sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Gadaffi jijini hapa.

Dk. Bashiru alisema ushindi unaopatikana ni wa Watanzania wote wenye kiu na mabadiliko na imani kwa Rais atakayetangazwa.

“Matarajio ni kwamba amani iliyotawala wakati wa kampeni na uvumilivu uliotawala, ni mtaji wetu kuwezesha serikali itakayochaguliwa na wabunge watakaochaguliwa kuwa ni serikali ya utumishi na ya maendeleo ya wote,” alisema....kwa habari zaidi tembelea https//epaper.ippmedia.com

Habari Kubwa