Hafla ya futari hiyo ilifanyika Hotel ya Tanga Beach Resort jijiji Tanga ikihudhuriwa na wadau mbalimbali wa benki hiyo wakiwemo wateja, wafanyakazi wa benki hiyo pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga Hashimu Mgandilwa pamoja na Sheikh Mkuu wa Mkoa huo Sheikh Juma Luwuchu.