CCM yaufuta 'uteja' miaka 25 Kaskazini

31Oct 2020
Godfrey Mushi
Arusha
Nipashe
CCM yaufuta 'uteja' miaka 25 Kaskazini

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kushinda katika majimbo ambayo kwa miaka mingi yalikuwa chini ya uwakilishi wa wabunge kutoka vyama vya upinzani.

Kati ya majimbo hayo, yamo Karatu na Moshi Mjini yaliyokuwa yanaongozwa na wabunge wa upinzani kwa miaka 25 iliyopita.

Mbali na majimbo hayo mawili, mengine ya kimkakati yaliyokuwa yakinyemelewa na CCM kwa muda mrefu ni Arusha Mjini, Hai, Vunjo, Mbeya Mjini, Iringa Mjini na Ubungo...........kwa habari zaidi tembelea epaper.ippmedia.com

Habari Kubwa