Chunya yapokea gari la wagonjwa

09Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Mbeya
Nipashe
Chunya yapokea gari la wagonjwa

MBUNGE wa Lupa, Masache Kasaka, amekabidhi gari la wagonjwa kwa uongozi wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya ili liwasaidie kutatua changamoto zilizokuwa zinaikabili wilayani hiyo kutokana na upungufu wa magar hayo.

Habari Kubwa