Devotha Minja kupeperusha bendera ya Chadema Morogoro

15Jul 2020
Frank Kaundula
MOROGORO
Nipashe
Devotha Minja kupeperusha bendera ya Chadema Morogoro

Mkutano Mkuu wa Chadema Jimbo la Morogoro mjini umempitisha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoani humo, Devotha Minja kupeperusha bendera ya chama hicho katika kiti cha ubunge kwenye uchaguzi mkuu 2020 kwa kupata kura 83 sawa na asilimia 70.8.

Mbunge wa Viti Maalum mkoani humo, Devotha Minja.

MATOKEO KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO MJINI CHADEMA

VITI MAALUMKURA ZILIZOPANGWA 55

KURA ZILIZOHARIBIKA NI 2 sawa na 0.3%

1. Devotha Minja, kura 38 = 70.3%2. Ester Tawete, kura 11 = 20%3. Doroth Namshani, kura 0 = 0%4. Maria Mihanjo, kura 4

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOROGORO MJINI.Kura zilizopangwa 125

Zilizoharibika kura 6 = 4.8%

1. Devotha Minja, kura  83 = 66.4%2. Shabani Dimoso, kura 33 = 26.4%3. Wilfred  Ngindu, kura 2 = 1.6%4. Juma Tembo, kura 1 = 0.8%

Habari Kubwa