Gharama za umeme kushuka hadi sh.36 kwa uniti 1

10Apr 2021
Beatrice Shayo
Pwani
Nipashe
Gharama za umeme kushuka hadi sh.36 kwa uniti 1

WAZIRI Mkuu, Kassimu Majaliwa, amesema bwawa la kuzalisha umeme wa maji la Julias Nyerere (JNHPP) kwenye mto Rufiji mkoani Pwani una faida kubwa katika nchi na utashusha gharama za umeme hadi Sh 36 kwa uniti moja ifikapo mwakani kutoka Sh 440 hadi 600 kwa bei ya sasa ya nishati hiyo.

Habari Kubwa