Haya hapa matokeo kidato cha nne; Ufaulu wapaa 1.46%

15Jan 2022
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM
Nipashe
Haya hapa matokeo kidato cha nne; Ufaulu wapaa 1.46%

BARAZA LA Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani kidato cha nne mwaka 2021 ambapo ufaulu umeongezeka kwa wastani wa asilimia 1.46 na kufikia asilimia 87.30 sawa na watahiniwa 422,388 kati ya watahiniwa 483,820.

Katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk Charles Msonde.

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk Charles Msonde leo Jumamosi Januari 15, 2022.

Bonyeza kila kiungio hapa chini kuona matokeo husika;

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2021

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2021

Habari Kubwa