IGP Sirro ataka jengo la Makao Makuu Polisi Singida kukamilika haraka

22Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Singida
Nipashe
IGP Sirro ataka jengo la Makao Makuu Polisi Singida kukamilika haraka

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, ameitaka Kamati ya Ujenzi inayojenga Mradi wa Ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida, kukamilisha mradi huo kwa muda uliokusudiwa ili liweze kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi.

IGP Simon Sirro.

Habari Kubwa