JPM aongoza matokeo urais

30Oct 2020
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Nipashe
JPM aongoza matokeo urais

MGOMBEA Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, anaongoza katika matokeo ya urais katika majimbo yaliyoanza kutangazwa jana.

Katika matokeo hayo yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Magufuli ambaye anawania muhula mwingine kuongoza nchi, anaongoza kwa asilimia kati ya 70 na 95 akifuatiwa kwa mbali na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu.

Kwa mujibu wa matokeo hayo, wagombea wengine waliojitosa katika kinyang’anyiro hicho, akiwamo Bernard Membe wa ACT-Wazalendo, na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF), wanaambulia chini ya wastani wa asilimia moja ya kura zilizopigwa.

 Matokeo hayo ni kama ifuatavyo;-

KONDOA MJINI

Dk. Magufuli (15,616) Leopard Mahona (NRA) kura 13, John Shibuda (ADA TADEA) kura 35, Muttamwega Mgahywa (SAU) 14, Cecilia Mwanga (Demokrasia Makini) 38, Yeremia Maganja (NCCR-Mageuzi) 20, Lipumba (187), Philipo Fumbo (DP) tisa,  Membe (9) na Queen Sendiga (ADC) kura tano.

Wengine ni Twalib Kadege (UPDP) nne, Hashim Rungwe (CHAUMMA) 30, Khalfan Mazrui (UMD) moja, Seif Seif (AAFP) mbili na  Lissu kura 1,596.

SIHA

Magufuli (26,056), Lissu (5,124), Mahona (119), Shibuda (74), Muttamwega (23), Mwanga (32), Maganja (17), Lipumba (14), Fumbo (17), Membe (11), Sendiga (7),  Kadege (21),  Rungwe (133), Mazrui (5) na Seif (4).

NKENGE

Dk. Magufuli (57,975), Lissu (5,145), Mahona (222), Shibuda (93), Muttamwega (44), Mwanga (42), Maganja (80), Lipumba (101), Fumbo (22), Membe (33), Sendiga (15), Kadege (12), Rungwe (117), Mazrui (3) na Seif (7).

LUPEMBE

Magufuli (27,527), Lissu (1,286), Mahona (127), Shibuda (61), Muttamwega (33), Mwanga (20), Maganja (25), Lipumba (8), Fumbo (16), Membe (120, Sendiga (11),  Kadege (7), Rungwe (30), Mazrui (3) na Seif (4).

SHINYANGA MJINI

Magufuli (38,411), Lissu  (10,597), Mahona (222), Shibuda (103), Muttamwega (33), Mwanga (45), Maganja (57), Lipumba (42), Fumbo (17), Membe (62), Sendiga (11),  Kadege (8), Rungwe (220), Mazrui (6) na Seif (4).

IRAMBA MASHARIKI

Dk. Magufuli (37,231, Lissu (4,273), Mahona (391), Shibuda (121), Muttamwega (61), Mwanga (36), Maganja (75), Lipumba (41), Fumbo (23), Membe (26), Sendiga (11),  Kadege (14), Rungwe (73), Mazrui (5) na  Seif (13).

MAKAMBAKO

Magufuli (23,000), Mahona (98), Shibuda (43), Muttamwega (12), Mwanga (27),  Maganja (12), Lipumba (11), Fumbo (10), Membe (14), Sendiga (7), Kadege (4),  Rungwe (39), Mazrui (3),  Seif (8) na Lissu (4,840).

ILEJE

Magufuli (30,373), Mahona (317), Shibuda (106), Muttamwega (29), Mwanga (56),  Maganja (12), Lipumba (10), Fumbo (25), Membe (12), Sendiga (12), Kadege (16),   Rungwe (70), Mazrui (4), Seif (12) na Lissu (5,372).

NJOMBE MJINI

Magufuli (30,134), Mahona (138), Shibuda (62), Muttamwega (10), Mwanga (39), Maganja (38), Lipumba (6), Fumbo (19), Membe (13),  Sendiga (14), Kadege (9), Rungwe (45), Mazrui (3) , Seif (6) na Lissu (5,138).

Habari Kubwa