Kafulila ajivua uanachama Chadema

22Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kafulila ajivua uanachama Chadema

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kigoma Kusini mwaka 2010-2015 David Kafulila amejivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

David Kafulila.

Habari Kubwa