Lawrence Masha avua 'gwanda', atimka Chadema

14Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lawrence Masha avua 'gwanda', atimka Chadema

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania katika Serikali ya awamu ya nne Lawrence Masha amejivua rasmi uanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiwa ni miaka miwili tangu ajiunge na chama hicho mwaka 2015 akitokea CCM.

Lawrence Masha.

Habari Kubwa