Mageuzi mabasi mwendokasi ya gesi yaja

06Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Nipashe Jumapili
Mageuzi mabasi mwendokasi ya gesi yaja

KAMPUNI ya utengenezaji mabasi yanayotumia nishati jadidifu ya gesi ya ETEFA kutoka Austria, imeonyesha nia ya kuwekeza katika mabasi ya mwendokasi kwa kuleta mabasi yanayotumia gesi badala ya mafuta.

Habari Kubwa