Majaliwa apigia chapuo kilimo cha bustani

06Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Nipashe Jumapili
Majaliwa apigia chapuo kilimo cha bustani

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema tasnia ya kilimo cha mazao ya bustani ina mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi nchini na kuajiri watu zaidi ya milioni nne, hivyo kuongeza kipato kwa wakulima na wafanyabiashara.

Kutokana na umuhimu wa tasnia hiyo, Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo kuanzisha Mamlaka ya Kilimo cha Mazao ya Bustani na Kituo cha Utafiti kwa ajili ya kusimamia na kuratibu mazao ya matunda, viungo na mboga.

Majaliwa alisema hayo jana baada ya kufungua Kongamano la Kikanda la Biashara la Uwekezaji katika Tasnia ya Mazao ya Bustani lililofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, jijiji Dar es Salaam........kwa habari zaidi fuatilia https://epaper.ippmedia.com

Habari Kubwa