Mbaroni tuhuma kuua babu yake katika mkasa wa ajabu

18Jan 2021
Na Mwandishi Wetu
Siha
Nipashe
Mbaroni tuhuma kuua babu yake katika mkasa wa ajabu

SAID Kihundwa (98), Mkazi wa Kijiji cha Mlangoni katika Kata ya Gararagua, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuuawa kikatili na mjukuu wake, aliyeona babu yake anateseka na maradhi kwa muda mrefu.

Habari Kubwa