Mbunge CCM akamatwa na Takukuru tuhuma kugawa rushwa

09Jul 2020
Renatha Msungu
DODOMA
Nipashe
Mbunge CCM akamatwa na Takukuru tuhuma kugawa rushwa

MBUNGE wa Mtera, Livingstone Lusinde, amekamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi na baadae kuachiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kugawa fedha kwa wajumbe wa CCM akiwa nyumbani kwake.

MBUNGE wa Mtera, Livingstone Lusinde.

Habari Kubwa