Mbunge wa Kinondoni CUF ajiuzulu

03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mbunge wa Kinondoni CUF ajiuzulu

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama cha CUF , Maulid Said Abdallah Mtulia amejiuzulu uanachama wa chama cha CUF na nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo ndani ya bunge na chama hicho.

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama cha CUF , Maulid Said Abdallah Mtulia.