Mtia nia Urais ahaidi kuhamasisha kilimo cha bangi

11Jul 2020
Grace Mwakalinga
MBEYA
Nipashe
Mtia nia Urais ahaidi kuhamasisha kilimo cha bangi

Mtaalam wa Tiba Mbadala kutoka wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Joshua Lawrence amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo na kuahidi kuhamashisha kilimo cha bangi ili kitumike kama chakula cha kuku kwa lengo la kuongeza uzalishaji.

mtia nia joshua Joshua Lawrence akiwa ameshika fomu yake aliyekabidhiwa na Katibu wa Chama hicho Mkoa wa Mbeya, Geofrey Sanga.

Habari Kubwa