Nitaongeza mishahara kwa walimu wa sayansi na Tehama -Museveni

14Oct 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Nitaongeza mishahara kwa walimu wa sayansi na Tehama -Museveni

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sayansi na Tehama tu kwa madai ya kuwa wao ndio wanaochangia maendeleo ya jamii.

Rais Yoweri wa Uganda Yoweri Museveni.