Rais aagiza waliobambika kesi mauaji wachukuliwe hatua

14Mar 2019
Augusta Njoji
DODOMA
Nipashe
Rais aagiza waliobambika kesi mauaji wachukuliwe hatua

RAIS John Magufuli, ameagiza hatua zaidi zichukuliwe kwa wale wote waliohusika katika tukio la kubambikiziwa kesi ya mauaji namba 8/2018 dhidi ya Mussa Adam Sadiki.

rais john magufuli.

Habari Kubwa