Rais ataka Rwanda kuwa mfano wa kuigwa

11Feb 2019
Salome Kitomari
Addis Ababa,Ethiopia
Nipashe
Rais ataka Rwanda kuwa mfano wa kuigwa

Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas, amezitaka nchi za Afrika kuiga mfano wa Rwanda katika kutoa nafasi za uongozi na maamuzi kwa wanawake ili kuhakikisha usawa wa jinsia unafikiwa.

Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas.

Habari Kubwa