Rais Samia amlilia Mghwira

22Jul 2021
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM
Nipashe
Rais Samia amlilia Mghwira

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za rambirambi kwa familia, Ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira.

Habari Kubwa