Rais wa Ufaransa, Macron kumaliza ugaidi nchini Mali

19May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais wa Ufaransa, Macron kumaliza ugaidi nchini Mali

Rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron amefanya ziara ya kwanza katika bara la Afrika kwa kuitembelea nchini ya Mali ambako amesema Ufaransa haitarudi nyuma katika vita dhidi ya magaidi na wapiganaji wengine wa kijihadi kali katika nchi hiyo na hasa eneo la Sahel.

Rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron.

Habari Kubwa