RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

20Jul 2021
Na Mwandishi Wetu
MWANZA
Nipashe
RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

SIKU moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutangaza kufanya kongamano la kudai katiba mpya jijini Mwanza kesho, Mkuu wa mkoa huo, Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko isiyokuwa ya lazima ili kujikinga na ugonjwa wa corona.

Mkuu wa mkoa wa mwanza, Robert Gabriel.

Habari Kubwa