Sabaya atoa siku 7 waliovamia shamba la Fofo/Foo kuvunja nyumba zao

12Sep 2019
Godfrey Mushi
HAI
Nipashe
Sabaya atoa siku 7 waliovamia shamba la Fofo/Foo kuvunja nyumba zao

WANANCHI 48 wa Kijiji cha Narumu, Tarafa ya Lyamungo, Wilaya ya Hai  waliojimilikisha ekari 46 za ardhi ya shamba la Fofo/Foo lililofutwa hati na Rais Alli Hassan Mwinyi, wameamriwa kuvunja makazi yao na kuondoka ndani ya siku saba.

Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya .picha: mtandao

Habari Kubwa