SGR imakamilika asilimia 100 -Majaliwa

20Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Nipashe
SGR imakamilika asilimia 100 -Majaliwa

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) umekamilika kwa asilimia 100 ambapo hadi kufikia Agosti mwaka huu itaanza kazi kuanzia Morogoro hadi Pugu jijini Dar es Salaam.

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa.

Habari Kubwa