Shein atoa siri ‘kifo’ migomo elimu ya juu

06Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Nipashe Jumapili
Shein atoa siri ‘kifo’ migomo elimu ya juu

RAIS mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Dk. Ali Mohammed Shein, amesema mabadiliko yaliyofanywa na serikali katika sekta ya elimu nchini yameondoa kero kwenye shule na elimu ya juu, ikiwamo migomo na maandamano ya wanafunzi.

Habari Kubwa