Takukuru kuanza kumchunguza Nyalandu

14Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Takukuru kuanza kumchunguza Nyalandu

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema imeanza kulifanyia kazi suala la aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu.

Lazaro Nyalandu.

Habari Kubwa